Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Misumeno ya Mkanda ya DoubleHARD

In stock
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Durable All-Purpose Bandsaw blade
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Misumeno ya Mkanda ya DoubleHARD
Msumeno wa DoubleHARD umekuwa msumeno maarufu zaidi wa Wood-Mizer kwa zaidi ya muongo mmoja. Ni wa bei nafuu na unategemewa kwa hali zote za jumla za uchanaji wa mbao. Umetengenezwa kwa chuma chenye ubora wa juu, na meno yake yanafanywa kuwa magumu kwa kutumia moto. Misumeno ya DoubleHARD ni magumu, haiwezi kuvunjika, na haitatiki au kuharibika haraka. Misumeno ya DoubleHARD ina unyumbufu wa kukata usio na kifani, iwe unataka kukata mbao zilizogandishwa au zilizokaushwa kwenye joko, mbao laini, mbao ngumu au mbao zenye fundo. Viwanda vikubwa vya uchanaji wa mbao pamoja na wachanaji wanazunguka hapa na pale na mashine zao hutegemea misumeno ya DoubleHARD ya Wood-Mizer kwa kazi zao. Malighafi Mwonekano Unene / Upana (milimita) BD1735 10/30 1.00 x 35 BD1740 10/30 1.00 x 40 BD1750 10/30 1.00x 50 BD2732 7/34, 10/30 1.07 x 32 BD2735 10/30 1.07 x 35 BD2750 9/29, 10/30 1.07 x 50 BD3732 7/39, 9/29, 10/30 1.14 x 32 BD3738 4/32, 7/34, 7/39, 9/29, 10/30, 13/29 1.14 x 38 BD4732 10/30 1.40 x 32 BD4738 4/32, 7/34, 10/30, 13/29 1.40 x 38 BD2738 10/30, 13/29 1.27 x 38
Read More
Pata Nukuu ya Bei Misumeno ya Mkanda ya DoubleHARD
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!