Mashine za Kukata Kingo za Mbao Na Mashine za Kuchana Mbao Nyingi Kwa Wakati Mmoja
Mashine za Kukata Kingo za Mbao Na Mashine za Kuchana Mbao Nyingi Kwa Wakati Mmoja
Ongeza uzalishaji kwa kukata mabaa, mbao za kando zenye magome na mabamba kuwa mbao nzuri laini zenye kingo za mraba kwa kutumia mashine ya Wood-Mizer ya kukata kingo za mbao. Mashine za kukata kingo za mbao za Wood-Mizer zenye msumeno moja au miwili ni rahisi kutumia, huchana mbao za kudumu na zina misumeno yenye ncha za carbide. Kwa kuunganisha na mashine za usindikaji wa mbao zilizopo au kwa kupanua biashara ya uchanaji wa mbao, mashine za kukata kingo za mbao na zinazokata mbao nyingi kwa wakati mmoja za Wood-Mizer huhakikisha kuwa mbao zako zinakaribia ubora unaohitajika, huunganishwa kwa urahisi na kazi za mashine zilizopo na huwa na chaguo nyingi za kuboresha.
Mashine hii iliyo na uwezo wa kukata kingo za mbao na kuchana mbao nyingi kwa wakti mmoja, inahakikisha kuwa kila bao limechanwa kikamilifu ili kuongeza uzalishaji wa kiwanda cha kuchana mbao.
Mashine ya kukata kingo za mbao yenye misumeno miwili ya EG100 imetengenezwa kama suluhisho la bei nafuu kwa wachanaji wa mbao ili kuongeza uzalishaji wao.
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!