Tangu 1982, Wood-Mizer imekuwa ikitengeneza mashine za kuchana mbao zinazobebeka na watu binafsi kote ulimwenguni kwa wale ambao wanataka uhuru wa kuchana mbao zao kwa ajili ya miradi yao ya biashara. Wood-Mizer inatengeneza mashine za kuchana mbao zenye ubora na utendaji wa juu kwa watu wanaopenda kazi ya uchanaji wa mbao na viwanda vya kuchana mbao wakati wote. Kuna mashine zinazowekwa mahali fulani maalum au zinazobebeka, zinazoendeshwa kwa mikono au nishati inayotokana na maji, za kawaida au pana, za reli moja au mbili, chaguo ni lako na mashine hizi zote zinatengenezwa na Wood-Mizer.
Mashine hii iliyo maarufu kwa ubora wake, uwezo mkubwa, na bei nafuu, hufanya yote – kutoka kwa kazi ya mtu anayependa kuchana mbao hadi kazi za kibiashara.
Mashine hii imeundwa kama mashine iliyo rahisi kutumia lakini inaweza kufanya kazi ngumu ili kuhimili hali ngumu ya kufanya kazi huku ikitoa uzalishaji thabiti wa mbao.
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!