Misumeno na Visu

Misumeno na Visu

Kutumia msumeno bora zaidi ni muhimu katika kuongeza uzalishaji, kuimarisha ubora wa mbao, na kupunguza gharama kwa kampuni yako ya kuchana mbao. Kuanzia uchanaji wa mbao kutoka miti laini ambazo ni mbichi hadi ngumu zilizokauka, Wood-Mizer hutengeneza safu nyingi za misumeno ya mkanda yenye michanganyiko zaidi ya 100 kulingana na mwonekano, upana, unene, nafasi ya meno na aloi kwa matumizi ya aina yoyote ya uchanaji wa mbao.

Wood-Mizer huajiri timu nzima ya wataalamu wa misumeno walio na uzoefu wa miongo kadhaa ambao wanahusika kikamilifu katika kila hatua ya mchakato wa utengenezaji wa misumeno ya mkanda kutoka kwa uteuzi wa malighafi na uhandisi wa mashine bora za utengenezaji hadi kufanya majaribio na kaguzi zaidi ya 100 hadi hatua ya mwisho ya kutengeneza misumeno hiyo.

Kila jino la misumeno ya mkanda ya Wood-Mizer limelainishwa kwa usahihi kwa kutumia vifaa vinavyodhibitiwa na kompyuta na kunolewa ncha kwa kutumia teknolojia ya unoaji wa CBN inayonoa kwa ubora zaidi ili kuhakikisha kuwa unapata misumeno yenye ubora wa juu zaidi kila wakati. Misumeno hii ambayo imeundwa nchini Marekani ilikutumika katika mashine tofauti za uchanaji wa mbao na za kampuni tofauti, unaweza kuwa na imani katika misumeno ya mkanda ya Wood-Mizer ya mashine za kuchana mbao kwa ubora, usahihi na utendakazi usiolinganisha na yoyote.

Hakikisha pia kuwa misumeno yako yana makali ya ncha ukitumia huduma yetu ya kunoa misumeno ya ReSharp na aina nyingi za vinoaji na vifaa vya kulainisha meno za misumemo.

3 Items

per page
Set Descending Direction
View as Grid List

3 Items

per page
Set Descending Direction
View as Grid List
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!