Kinoaji cha BMS200 kinawapa wafanyabiashara wadogo wa kuchana mbao kinoaji cha bei nafuu chenye matokeo bora.
BMS200 hutumia magurudumu ya kunoa ya CBN yenye urefu wa milimita 127, ambayo huja kwa aina tofauti, na yanayonoa vizuri sana. BMS200 ina mota ya kilowati 0.18 ya AC yenye kasi ya mizunguko 2800 kwa kila dakika. Mfumo wa ulainishaji unaotumia mafuta huhakikisha kuwa msumeno unabakia baridi wakati wa kunoa, na sumaku huvuta vipande vidogo vya chuma, hivyo kusafisha mafuta ili yatumike tena. Kisukuma jino kinaweza kusongeshwa kwa urekebishaji mzuri, vile vile jukwaa la urefu wa msumeno hurekebishwa kwa urahisi ili kunoa misumeno yenye upana wa milimita 25 hadi 50.
BMS200 hutumia vipengee vya ubora wa juu sawa na BMS250, lakini haina mfumo wa kuzima kiotomatiki wakati msumeno umekamilika kunolewa.
Read More
More InformationKinoaji cha Misumeno ya Mkanda cha BMS200
More Information
Uteuzi wa Nishati
Mota ya Kusaga
kilowati 0.18 (HP 1/4)
Vipengele na Utendaji
Usaidizi wa Msumeno
Mihimili 3 ya Kichwa na Sehemu za Kufungia Msumeno Zinazoweza Kusongeshwa
Njia ya Kusafisha kwa Mafuta
Sumaku ya Kusafisha Mafuta
Ulainishaji wa Gurudumu la Kusaga
Mafuta ya ACP-1E
RPM ya Gurudumu
2800
Ukubwa wa Gurudumu la Kusaga
127 mm (5")
Aina ya Gurudumu la Kusaga
CBN
Marekebisho
Sehemu za Kubadilishia Kilindi, Upande na Upana wa Msumeno
Kasi ya Kibadala
Ndiyo
Uboreshaji wa Msumeno
Kifaa cha Kusukuma Meno Kinachoendeshwa kwa kutumika Nishati
Upana wa Msumeno
25 - 50mm (1" - 2")
Vipimo na Masharti
Viwango vya Usalama
CE
Pata Nukuu ya BeiKinoaji cha Misumeno ya Mkanda cha BMS200
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!