Kinoaji cha msumeno cha BMS250 ni bora zaidi kwa mchanaji wa mbao anayetafuta kuwekeza katika kinoaji chenye ubora wa juu, cha kiotomatiki ambacho kinaweza kunoa misumeno mara kwa mara na kwa uhakika kwa biashara ya kukata mbao.
The BMS250 blade sharpener is ideal for the sawyer looking to invest in a high quality, automatic sharpener that can sharpen blades regularly and reliably for a timber cutting business.
The BMS250 automatically sharpens blades according to a set number of teeth. The hood enclosure and grinding wheel lift out of the way for easy blade installation and removal. It features an auto-shutoff, and a variable speed feed rate controlled from the control panel. The heavy-duty hood encloses the blade during sharpening and includes an exhaust vent. An oil wiper pads clean excess oil off the blade automatically.
The BMS250 uses 127mm full profile CBN grinding wheels, which come in various profiles, and are ready to sharpen out-of-the-box. The BMS250 is equipped with a 0.18 kW single phase AC motor with a speed of 2800 rpm. An oil lubrication system keeps the blade cool during grinding, and magnets attract the metal filings, cleaning the oil for reuse. The tooth pusher is adjustable for fine-tuning, as well as the blade height platform is easily adjusted to manage blades from 25mm to 50mm wide.
Features
Automatic shut-off sensor
1/4HP grinding motor
5" Diameter cbn wheel
Grinding head lifts totally out of the way for simple blade insertion and removal
Oil bath system with easy to remove oil pan and oil filling reservoir
Blade oil wiper system
Blade easily adjusted up and down with single knob for 25-50 mm (1"-2") wide blades
No dressing of grinding wheel
No adjusting head for hook angles
Easy set-up
Electrical Controls on Operator’s Panel Include:
Grinder motor on/off switch
Feed rate control dial
On/off power switch & emergency shut-off device
Blade drive motor on/off switch
Kinoaji cha msumeno cha BMS250 ni bora zaidi kwa mchanaji wa mbao anayetafuta kuwekeza katika kinoaji cha ubora wa juu, cha kiotomatiki ambacho kinaweza kunoa misumeno mara kwa mara na kwa uhakika kwa biashara ya kukata mbao.
BMS250 kinanoa misumeno kiotomatiki kulingana na idadi ya meno. Uzio wa kofia na gurudumu la kunoa huweza kuinuliwa juu ili kuweka na kuondoa msumeno kutoka kwenye kinoaji kwa urahisi. Kina kipengele cha kuzima kiotomatiki, na kasi ya kuzunguka kwa msumeno inayobadilika inayodhibitiwa kutoka kwenye paneli ya udhibiti. Kofia nzito hufungia msumeno wakati wa kunoa na inajumuisha tundu la kutolea uchafu. Pedi za kufuta mafuta husafisha mafuta ya ziada kutoka kwenye msumeno kiotomatiki.
BMS250 hutumia magurudumu ya kunoa ya CBN yenye urefu wa milimita 127, ambayo huja kwa aina tofauti, na yanayonoa vizuri sana. BMS250 ina mota ya kilowati 0.18 ya AC yenye kasi ya mizunguko 2800 kwa kila dakika. Mfumo wa ulainishaji unaotumia mafuta huhakikisha kuwa msumeno unabakia baridi wakati wa kunoa, na sumaku huvuta vipande vidogo vya chuma, hivyo kusafisha mafuta ili yatumike tena. Kisukuma jino kinaweza kusongeshwa kwa urekebishaji mzuri, vile vile jukwaa la urefu wa msumeno hurekebishwa kwa urahisi ili kunoa misumeno yenye upana wa milimita 25 hadi 50.
Vipengele vya Mashine:
Sensa ya inayotumiwa kuzima kiotomatiki
Mota ya kunoa yenye nguvu (HP) ya 1/4
Gurudumu la cbn lenye kipenyo cha milimita 127
Kichwa cha kunoa huinuliwa juu kabisa ili kuweka na kuondoa msumeno kutoka kwenye kinoaji kwa urahisi
Mfumo wa umwagaji wa mafuta na chombo cha kuchota mafuta kilicho rahisi kutoa na hifadhi ya mafuta
Mfumo wa kufuta mafuta kutoka kwenye msumeno
Msumeno unaweza kusongeshwa juu au chini kwa urahisi kwa kutumia kidude kimoja kwa misumeno yenye upana wa milimita 25 - 50 (1" - 2").
Gurudumu la kunoa haliongezwi kitu kingine
Hakuna haja ya kuinua kichwa cha mashine ili msumeno usonge
Ni rahisi kufunga
Vidhibiti vya Umeme kwenye Paneli ya Mwendeshaji ni pamoja na:
Swichi ya kuwasha na kuzima mota ya kinoaji
Kidude cha kudhibiti kasi ya msumeno kwenye kinoaji kilicho kwenye paneli ya mwendeshaji
Swichi ya kuwasha/kuzima umeme na kifaa cha kuzima wakati wa dharura
Swichi ya kuwasha/kuzima mota inayoendesha msumeno
Read More
Vipengele vya MashineKinoaji cha Msumeno wa Mkanda cha BMS250
More InformationKinoaji cha Msumeno wa Mkanda cha BMS250
More Information
Uteuzi wa Nishati
Mota ya Kusaga
kilowati 0.18 (HP 1/4)
Vipengele na Utendaji
Usaidizi wa Msumeno
Mihimili 3 ya Kichwa na Sehemu za Kufungia Msumeno Zinazoweza Kusongeshwa
Njia ya Kusafisha kwa Mafuta
Padi za kufuta mafuta
Njia ya Kusafisha kwa Mafuta
Sumaku ya Kusafisha Mafuta
Ulainishaji wa Gurudumu la Kusaga
Mafuta ya ACP-1E
RPM ya Gurudumu
2800
Ukubwa wa Gurudumu la Kusaga
127 mm (5")
Aina ya Gurudumu la Kusaga
CBN
Marekebisho
Sehemu za Kubadilishia Kilindi, Upande na Upana wa Msumeno
Vipengele vya Kiotomatiki
Sensa Inasimamisha Unoaji Msumeno Ukikamilika Kunolewa
Kasi ya Kibadala
Ndiyo
Uboreshaji wa Msumeno
Kifaa cha Kusukuma Meno Kinachoendeshwa kwa kutumika Nishati
Upana wa Msumeno
25 - 50mm (1" - 2")
Vipimo na Masharti
Masharti ya Umeme
V 230 Ph 1
Viwango vya Usalama
CE
Pata Nukuu ya BeiKinoaji cha Msumeno wa Mkanda cha BMS250
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!