Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Mashine ya BMT100 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono

In stock
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Manually Operated Economical Tooth Setter
BMT100 ni chaguo ya kuaminika kwa shughuli za kiasi cha chini ambazo zinahitaji msumeno ulio na meno laini.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Mashine ya BMT100 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono

The BMT100 is a manually operated economical tooth setter that sets one tooth at a time. This unit contains a dial indicator that accurately measures the tooth set while the blade is manually advanced by hand, setting one side at a time. Once this entire side is set the blade must be inverted for completion of teeth on the other side.

This manual tooth setter will ensure that your set is symmetrical and consistent tooth-to-tooth and side-to side. The BMT100 is a reliable option for low volume operations that demand consistent set patterns. This setter comes with a “Bend Back Tool” that allows for correcting over set teeth.

For the individual who has low volume but who needs to ensure consistent set, the BMT100 is a great way to get started.

Features

  • Easy to operate manual crank handle
  • Adjustable clamp nut for handle positioning
  • Adjustable toothset dial indicator
  • Blade indexing pawls for adjusting tooth spacing
  • Blade height adjustment screws for 1" - 2" wide blades
  • Adjustable set screw for setting point location
  • Blade support arms


Benefits

  • Inexpensive
  • Easy to operate
  • Precise set reading

BMT100 ni mashine ya mkono ya kulainisha meno ya msumeno inayolainisha jino moja kwa wakati mmoja. BMT100 ni chaguo ya kuaminika kwa shughuli za kiasi cha chini ambazo zinahitaji msumeno ulio na meno laini. BMT100 ni mashine ya mkono ya kulainisha meno ya msumeno inayolainisha jino moja kwa wakati mmoja. Mashine hii ina kiashirio kinachopima ulaini wa meno kwa usahihi huku msumeno ukisongeshwa kwa mkono, ukilainisha upande mmoja kwa wakati mmoja. Mara tu upande huu wote unapolainishwa, lazima msumeno ugeuzwe ili kulainisha meno kwenye upande huo mwingine.

Mashine hii ya kulainisha meno itahakikisha kuwa meno ya msumeno wako ni linganifu na yanafanana jino kwa jino na upande mmoja kwa mwingine. BMT100 ni chaguo ya kuaminika kwa shughuli za kiasi cha chini ambazo zinahitaji msumeno ulio na meno laini. Mashine hii inakuja na “Kifaa cha Kurekebisha Ulainishaji Uliozidi” (Bend Back Tool) ambacho kinaruhusu usahihishaji wa ulainishaji kupita kiasi.

Kwa mtu ambaye ana kazi kidogo lakini anahitaji kuhakikisha kuwa meno ya msumeno wake yako laini, BMT100 ni mashine nzuri ya kununua.

 

Vipengele vya Mashine

  • Chuma cha kulainisha kinachozungushwa kwa mkono ambacho ni rahisi kukiendesha
  • Nati ya kubana inayoweza kusongeshwa inayosaidia kubana msumeno wakati unalainisha
  • Kiashiria cha kupima ulainishaji wa meno ya msumeno
  • Pala za uwekaji wa misumeno za kurekebisha nafasi iliyo kati ya meno
  • Skrubu za kurekebisha urefu wa msumeno kwa misumeno yenye upana wa milimita 25 - 50
  • Skrubu zinazoweza kurekebishwa ya kuweka sehemu ya msumeno ya kulainisha
  • Mikono ya kuhimili msumeno

Faida

  • Ni ya bei nafuu
  • Ni rahisi kutumia
  • Kipimo sahihi cha ulaini
Read More
Vipengele vya Mashine Mashine ya BMT100 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
More Information Mashine ya BMT100 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
More Information
Vipengele na Utendaji
Geji ya Kupimia Ulainishaji wa Meno Geji ya Kupima Ulaini wa Jino 1 (Kwenye Mashine)
Usaidizi wa Msumeno Mihimili 3 ya Kichwa na Sehemu za Kufungia Msumeno Zinazoweza Kusongeshwa
Marekebisho Sehemu ya Kulainisha, Kukata, Upana wa Misumeno
Uboreshaji wa Msumeno Chuma cha Kulainisha Kinachoendeshwa kwa Mkono
Upana wa Msumeno 25 - 50mm (1" - 2")
Vipimo na Masharti
Viwango vya Usalama CE
Pata Nukuu ya Bei Mashine ya BMT100 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!