BMT150 ni mashine ya mkono ya kulainisha meno ya msumeno inayolainisha meno mawili kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza ufanisi lakini inabaki kuwa ya bei nafuu.
MaelezoMashine ya BMT150 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
The BMT150 is a manually operated tooth setter that sets two teeth at a time. A ratchet lever is used to advance and set both sides of the blade in one cycle, eliminating the need to invert the blade. This setter comes with a “Set Master Gauge” which allows for consistent and accurate setting. The BMT150 features adjustable tooth spacing from 6mm to 32mm (1/2" to 1-1/4") and can be used for 25mm-76mm blades (1" to 3") blades.
Features
One cycle lever action
Blade height adjustment for 25mm-76mm (1" - 3") blades
Adjustable tooth spacing
Set master gauge included
Benefits
Efficiently sets both sides in one cycle
Consistent and accurate
Economical bench mount
BMT150 ni mashine ya mkono ya kulainisha meno ya msumeno inayolainisha meno mawili kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza ufanisi lakini inabaki kuwa ya bei nafuu.
BMT150 ni mashine ya mkono ya kulainisha meno ya msumeno inayolainisha meno mawili kwa wakati mmoja. Wenzo wa upande moja hutumiwa kuendeleza na kulainisha pande zote mbili za msumeno katika mzunguko mmoja, hivyo kuondoa haja ya kuugeuza msumeno. Mashine hii ya kulainisha inakuja na “Geji ya Kupimia Ulaini” ambayo huhakikisha kuwa kuna ulaini na usawazishaji sahihi. BMT150 ina mbinu ya kubadilisha nafasi kati ya jino moja na lingine kutoka milimita 6 hadi 32 (inchi 1/2 hadi inchi 1-1/4) na inaweza kutumika kwa misumeno ya milimita 25 - 76 (inchi 1 hadi 3).
Vipengele va Mashine
Mzunguko mmoja wa wenzo
Uwezo wa kurekebisha urefu wa misumeno kwa misumeno ya milimita 25 - 76 (inchi 1 - 3)
Inaweza kurekebisha nafasi iliyo kati ya meno
Kinajumuisha geji ya kupima ulaini
Faida
Hulainisha pande zote kwa ufanisi katika mzunguko mmoja
Sahihi na thabiti
Chuma cha kuifungia kwa meza cha bei nafuu
Read More
Vipengele vya MashineMashine ya BMT150 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
More InformationMashine ya BMT150 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
More Information
Vipengele na Utendaji
Geji ya Kupimia Ulainishaji wa Meno
Kipimo cha Seti ya Jino 1 (Tenganisha na mtambo)
Usaidizi wa Msumeno
Mihimili 3 ya Kichwa na Sehemu za Kufungia Msumeno Zinazoweza Kusongeshwa
Uboreshaji wa Msumeno
Wenzo wa kutumia mikono
Upana wa Msumeno
25 - 75 mm (1 - 3")
Vipimo na Masharti
Viwango vya Usalama
CE
Pata Nukuu ya BeiMashine ya BMT150 ya Kulainisha Msumeno kwa Mkono
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!