MaelezoMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR115
The HR115 horizontal resaw comes standard with more features and power for higher productivity up to 20 metres per minute.
Quickly process cants up to 400 mm wide into standard sized timber with the HR115. Maximum cutting height is 280 mm. Head height is adjusted electrically, and optional setworks are available. The variable belt speed is adjustable depending on the material being cut – up to 20 metres per minute.
Two standard hold-down rollers keep cants steady during cutting. In-feed and out-feed roller tables, as well as a side roller table facilitate material handling, as well as returning uncut cants for another pass. To produce tapered products such as house siding, the head easily adjusts from 0° - 8°.
Mashine ya HR115 yenye kichwa cha mlalo imetengenezwa ikiwa na vipengele na nguvu zaidi kwa ajili ya uzalishaji wa juu wa mita 20 kwa dakika.
Chana boriti hadi upana wa milimita 400 haraka kuwa mbao za upana wa sanifu kwa kutumia HR115. Upeo wa kukata urefu ni milimita 280. Urefu wa kichwa hubadilishwa kielektroniki, na mifumo ya kusongesha kichwa cha mashine kiotomatiki inayoweza kuwekwa kwa hiari ipo. Kasi ya mkanda unaoendesha mashine inaweza kubadilishwa kulingana na mbao zinazokatwa – hadi mita 20 kwa dakika.
Rola mbili za kawaida hushikilia boriti kwa uthibiti wakati wa kukata. Rola za kusongesha gogo zilizo kwenye meza, na zile za kando husongesha gogo, vilevile hurudisha boriti ambazo hazikatwa ili zikatwe tena. Ili kukata mbao ambazo zina pempe zinazotumiwa kujenga kuta za nyumba, kichwa cha mashine hubadilika kwa urahisi kutoka 0 ° - 8 °.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR115
More InformationMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR115
More Information
Uteuzi wa Nishati
Uteuzi wa Nishati
7.5kW (10HP) electric 11kW (15HP) electric
Uwezo wa Kukata
Kima cha Juu Zaidi cha Boriti
Bila kikomo
Msumeno
Urefu wa Msumeno
4.26 m (168")
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
710mm (28")
Aina ya Gurudumu la Msumeno
Chuma cha Pua, kilicho imara wakati wa kazi
Unene wa Msumeno
0.89mm (0.035") 1.07 mm (0.042")
Upana wa Msumeno
32mm (1 1/4'') 35mm (1.37")
Vipengele na Chaguo za Kichwa
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki wenye vidhibiti vya mkao wa kidijital
Mipangilio ya Kichwa
Mlalo
Mipangilio ya Vidhibiti
Kidirisha Kidhibiti kwenye Mashine
Sistema de avance & Operación
Kasi ya Mzunguko
0-27m/min (0-88.5 ft/min)
Kishikilia Nyenzo
Rola zinazoshikilia Gogo na Rola Inayozunguka Juu ya Gogo zinazoendeshwa na nishati ya Nyumatiki
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR115
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!