MaelezoMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR200
HR200 ni mashine unayohitaji ili kuongeza uzalishaji katika kiwanda chako cha uchanaji wa mbao. Badala ya kukata bodi kwa kutumia mashine yako ya kuchana mbao, kwa kuongeza mashine ya HR200 kwenye kiwanda chako kitakuwezesha kukata boriti kwenye mashine yako ya kuchana kisha kuweka boriti hizo kwenye HR200 ili kuongeza uzalishaji wako na kuongeza tija ya mashine yako ya msingi ya kuchana mbao.
Mashine hii ya kuchana mbao ambazo zimeshachanwa tayari yenye ubora wa juu, yenye kichwa kimoja iliundwa kwa namna ambayo inaweza kutumika siku nzima kwa miaka mingi bila kufanyiwa matengenezo makubwa.
Mashine hii ambayo ni ndogo na rahisi kuitumia kwa hivyo itatoshea ipasvyo kwenye kiwanda chako.
Read More
More InformationMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR200
More Information
Uteuzi wa Nishati
Uteuzi wa Nishati
11kW (15HP) electric
Uwezo wa Kukata
Kima cha Chini Zaidi cha Urefu wa Boriti
10 mm (0.4")
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu wa Boriti
400mm (16")
Kima cha Juu Zaidi cha Boriti
3.6 m (11.8 ft)
Msumeno
Urefu wa Msumeno
4,010mm (158'')
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
600mm (24")
Upana wa Msumeno
32mm (1 1/4'') 35mm (1.37") 38mm (1 1/2")
Vipengele na Chaguo za Kichwa
Mipangilio ya Kichwa
Mlalo
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao Ambazo Zimeshachanwa Tayari ya HR200
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!