Compact, economical and reliable sawmilling solution
Mashine hii iliyo maarufu kwa ubora wake, uwezo mkubwa, na bei nafuu, hufanya yote – kutoka kwa kazi ya mtu anayependa kuchana mbao hadi kazi za kibiashara.
Incredibly versatile, the LT15 sawmill is very popular because of its high quality, wide capabilities, proven reputation, and affordability. From enabling rural development, sawing multiple shifts commercially, to supplying quality lumber for the home hobbyist, this sawmill does it all.
The LT15 cuts logs up to 70 cm in diameter and 5.4 m long with the standard bed options. In order to cut longer logs, bed extensions can be added to extend the sawmill bed to any required cutting length. Thin-kerf blades require minimal energy consumption, so smaller motors provide sufficient power to cut all wood types. Petrol and diesel engine options are available.
Logs are secured to the bed by the two standard log clamps and three adjustable backstops. Head height is precisely positioned by an electronic up/down motor. Cutting is accomplished by steadily advancing the sawmill head along the length of the log by turning a hand crank. Once the cut is completed, the head is pulled back and lowered into position for the next cut.
A water tank feeds lubrication directly to the blade to improve cutting performance and keep the blade clean. The adjustable blade guide arm keeps the blade well supported while cutting various sized material. Blade tension is easily adjusted, and keeps the blade at the proper tension for cutting. Wood-Mizer’s wide range of affordable blades can meet any cutting requirement, and deliver maximum log yield and minimal waste of the valuable timber.
Popular Options
Increase productivity with Setworks - simply select the board thickness required and the head height automatically positions for each cut. Increase production by adding power feed forward/reverse. A debarker, which prolongs blade life by clearing away dirt and rocks from the bark, can be added to AC models. Add the MP100 moulder/planer in order to produce finished beams and moulded columns.
Mashine hii ya kuchana mbao ya LT15 Classic, inayoweza kutumika kwa kazi mbalimbali ni maarufu sana kwa sababu ya ubora wake wa juu, uwezo mkubwa, sifa zilizothibitishwa na bei yake nafuu. Kuanzia na kuwezesha maendeleo ya vijijini, kuchana mbao za nyingi za kibiashara, hadi kusambaza mbao bora kwa watu wanaopenda shughuli za kuchana mbao nyumbani, mashine hii ya kuchana mbao hufanya yote haya.
LT20B hukata magogo yenye kipenyo cha sentimita 70 na urefu wa mita 5.4 kwa kutumia chaguo ya kitanda cha kawaida. Ili kukata magogo marefu, vyuma vinaweza kuongezwa ili kupanua kitanda cha mashine ili kufikia urefu wowote unaohitajika. Misumeno nyembamba za kerf inatumia nishati ndogo, kwa hivyo mota ndogo hutoa nishati ya kutosha kukata aina zote za mbao. Chaguo za injini ya petroli na dizeli zipo.
Magogo hufungwa kwenye kitanda kwa kutumia vibanio viwili vya kawaida na vyuma vitatu vinavyoweza kusongeshwa vya kuzuia magogo kuanguka. Urefu wa kichwa unabadilishwa kwa usahihi na mota ya elektroniki ya kukiinua juu/kukishusha chini. Magogo hukatwa kwa kusukuma kichwa cha mashine kwenye urefu wa gogo kwa kugeuza mhimili kwa mkono. Mara baada ya kukata hadi mwisho wa gogo, kichwa kinavutwa nyuma na kushushwa chini kwenye nafasi inayofaa ili kukata sehemu inayofuata.
Tangi la maji hutoa ulainisho wa moja kwa moja kwenye msumeno ili kuboresha ukataji na kuhakikisha kuwa msumeno unabakia safi. Mkono wa kuelekeza msumeno unaoweza kubadilishwa hutoa uhimili kwa msumeno wakati wa kukata magogo yenye ukubwa tofauti. Mashine hii ina sehemu ya kukazia msumeno, hivyo huhakikisha kuwa msumeno umekazwa ipasavyo. Misumeno mbalimbali ya bei nafuu ya Wood-Mizer inaweza kukidhi mahitaji yoyote ya uchanaji wa mbao, na kutoa idadi ya juu ya mbao kutoka kwenye gogo na huhakikisha kuwa hakuna ukataji wowote unaoleta hasara.
Chaguo Zinazopendwa na Wengi
Ongeza viwango vya uzalishaji kwa kutumia Mfumo wa Kusongesha Kichwa cha Mashine Kiotomatiki – Chagua unene na urefu wa ubao unaohitajika na kichwa cha mashine kitasogea kiotomatiki kwa kila hatua ya kukata gogo. Ongeza uzalishaji kwa kuongeza mashine inaotumia nishati kusongesha kichwa cha mashine. Mashine ya kuondoa magome, ambayo huongeza muda wa matumizi ya msumeno kwa kuondoa uchafu na mawe kutoka kwenye gome, inaweza kuongezwa kwa mashine zinazotumia nishati ya AC. Ongeza randa/mashine ya kukata mbao kwa mchongo fulani ya MP100 ili kukata mbao laini na zilizo tayari kwa matumizi.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao ya LT15Classic
Vipengele vya MashineMashine ya Kuchana Mbao ya LT15Classic
More InformationMashine ya Kuchana Mbao ya LT15Classic
More Information
Nishati
Nishati
kilowati 7.5 kW Umeme kilowati 11 kW (E15) Umeme HP 19 HP Petroli HP 10 Dizeli
Uwezo wa Kukata
Kima cha juu cha Kipenyo cha Gogo
70 cm
Max. Log Length
5.2 m (2 segments 2.7 m each, M2 Bed) 5.4 m (3 segments 1.95 m each, S3 Bed) 7.9 m (3 segments 2.7 m each, M3 Bed)
Kima cha juu zaidi cha Mbao
64 cm
Kima cha Juu zaidi cha Boriti
59 cm
Kima cha juu zaidi Kina cha Mbao
27 cm
Sifa na Machaguo ya Kichwa
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki
SW10 (for AC and DC models, optional)
Kichwa Juu/Chini
(Skrubu ya) kielektroniki
Kichwa Kuelekea Mbele/Nyuma
Chuma cha Kuendesha Mashine Umeme
Mkono wa Kuelekeza Msumeno
Kwa mikono
Mfumo wa Ulainishaji wa Msumeno
Vavu ya Kielektroniki
Mfumo wa Kukaza Msumeno
Skrubu iliyo na Geji
Mashine ya kuondoa magome
Si lazima
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi
101.6 mm (4'')
Chaguo Nyingine
Haitumiki
Msumeno
Urefu
4010 mm
Upana
32 mm 35 mm
Magurudumu ya Msumeno
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
483 mm
Aina ya Gurudumu la Msumeno
Ina Mikanda
Nyenzo ya Gurudumu la Msumeno
Aloi ya Chuma na Kaboni
Sifa na Chaguo za Kitanda
Reli za Kitanda zenye Pembe
Reli Moja
Viendelezi vya Kitanda
Vyuma vya Kuongeza Urefu wa Kitanda: mita 1.95 au mita 2.7
Kifurushi cha Trela
Si lazima
Kutumia Gogo
Mwenyewe
Kitanda cha S3 (Vipande 3 vya mita 1.95): Vyuma 6 vya Kuzuia Gogo Kuanguka, Vibanio 3 Vinavyofungwa kwa Mkono Kitanda cha M2 (Vipande 2 vya mita 2.7): Vyuma 4 vya Kuzuia Gogo Kuanguka, Vianio 2 Vinavyofungwa kwa Mkono Kabari ya kuzuia gogo kusonga
Hidroli ya KAWAIDA
Si lazima
Hidroli Mahiri
Si lazima
Vipengele na Chaguo za Mashine ya Kuchana Mbao
Uundaji wa Fremu
Vyuma 2 vya Wima Vinavyokinga Gogo Lisianguke
Masharti ya Nishati
V 400 V / A 16 (kilowati 7.5)
Viwango
CE
Chaguo
Njia za Kupakia Gogo Kifaa cha Kuinua na Kubingirisha Magogo Mashine ya Kuranda/Kukata Mbao Zenye Mchongo Fulani ya MP100 au MP150
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao ya LT15Classic
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!