The LT15START is the ideal affordable sawmill for straightforward timber processing with sturdy construction and simple features. Woodworkers, farmers, furniture makers, and builders who want to save money by producing their own sawn timber from logs will find that the LT15START will exceed their expectations for an entry-level sawmill.
The LT15START cuts logs up to 70 cm in diameter and 5.4 m long with the standard bed. In order to cut longer logs, bed extensions can be added to extend the sawmill bed to any required cutting length.
The sawmill features push feed and a manual crank for repositioning the blade for the next cut.
Thin-kerf blades require minimal energy consumption, so a 5.5 kW electric motor provides sufficient power to cut all wood types. A 14 HP petrol engine is also available on the LT15START.
Logs are secured to the bed by the three standard log clamps and six adjustable backstops. The head height is precisely positioned by a hand crank and cutting is accomplished by steadily pushing the sawmill head along the length of the log with light pressure. Once the cut is completed, the head is raised, and then pulled back and lowered into position for the next cut.
A water tank feeds lubrication directly to the blade to improve cutting performance and keep the blade clean. The adjustable blade guide arm keeps the blade well-supported while cutting various sized material. Blade tension is easily adjusted, and keeps the blade at the proper tension for cutting.
Popular Options
Optional log loading ramps aid loading large logs with spring loaded brackets. Easily cut longer logs by adding additional bed extensions.
LT15START ni mashine bora ya kuchana mbao na ya bei nafuu ambayo ina vipengele dhabiti na rahisi kuitumia. Wachanaji wa mbao, wakulima, watengeneza samani, na wajenzi wanaotaka kuokoa pesa kwa kutengeneza mbao zao wenyewe kutoka kwenye magogo watapata kwamba LT15START itazidi matarajio yao ya mashine ya kimsingi ya kuchana mbao.
LT20B hukata magogo yenye kipenyo cha sentimita 70 na urefu wa mita 5.4 kwa kutumia kitanda cha kawaida. Ili kukata magogo marefu, vyuma vinaweza kuongezwa ili kupanua kitanda cha mashine ili kufikia urefu wowote unaohitajika.
Mashine hii ina mizunguko ya kusukuma kichwa na chuma cha kuweka upya msumeno kwa mkato unaofuata.
Misumeno nyembamba za kerf inatumia nishati kidogo, kwa hivyo mota ya umeme ya Kilowati 5.5 hutoa nishati ya kutosha kukata aina zote za mbao. LT15START pia ina injini ya petroli ya HP 14.
Magogo hufungwa kwenye kitanda kwa kutumia vibanio vitatu vya kawaida vya kufunga magogo na vyuma sita vya kuzuia magogo kuanguka vinavyoweza kusongeshwa. Urefu wa kichwa umewekwa sawasawa na chuma cha kuendesha mashine na ukataji unakamilishwa kwa kusukuma kichwa cha mashine polepole kwenye urefu wa gogo kwa kutumia nguvu kidogo. Mara baada ya kukata hadi mwisho wa gogo, kichwa kinainuliwa, na kisha kuvutwa nyuma na kushushwa chini kwenye nafasi inayofaa ili kukata sehemu inayofuata.
Tangi la maji hutoa ulainisho wa moja kwa moja kwenye msumeno ili kuboresha ukataji na kuhakikisha kuwa msumeno unabakia safi. Mkono wa kuelekeza msumeno unaoweza kubadilishwa hutoa uhimili kwa msumeno wakati wa kukata magogo yenye ukubwa tofauti. Mashine hii ina sehemu ya kukazia msumeno, hivyo huhakikisha kuwa msumeno umekazwa ipasavyo.
Chaguo Zinazopendwa na Wengi
Njia za hiari za upakiaji husaidia kupakia magogo makubwa kwenye kitanda. Unaweza kukata magogo marefu kwa urahisi kwa kuongeza vyuma vya ziada vya kitanda.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao ya LT15START
Vipengele vya MashineMashine ya Kuchana Mbao ya LT15START
More InformationMashine ya Kuchana Mbao ya LT15START
More Information
Nishati
Nishati
kilowati 5.5 Umeme kilowati 7.5 kW Umeme HP 14 Petroli
Uwezo wa Kukata
Kima cha juu cha Kipenyo cha Gogo
70 cm
Kima cha juu zaidi cha Mbao
64 cm
Kima cha Juu zaidi cha Boriti
59 cm
Kima cha juu zaidi Kina cha Mbao
27 cm
Sifa na Machaguo ya Kichwa
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki
Haitumiki
Kichwa Juu/Chini
Chuma cha Kuendesha Mashine Umeme (Mnyororo)
Kichwa Kuelekea Mbele/Nyuma
Kusukuma kwa Mikono
Mkono wa Kuelekeza Msumeno
Kwa mikono
Mfumo wa Ulainishaji wa Msumeno
Vavu ya KujiwekeaVavu ya Kielektroniki
Mfumo wa Kukaza Msumeno
Skrubu iliyo na Geji
Mashine ya kuondoa magome
Haitumiki
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi
101.6 mm (4'')
Chaguo Nyingine
Haitumiki
Msumeno
Urefu
4010 mm
Upana
32 mm 35 mm
Magurudumu ya Msumeno
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
483 mm
Aina ya Gurudumu la Msumeno
Ina Mikanda
Nyenzo ya Gurudumu la Msumeno
Aloi ya Chuma na Kaboni
Sifa na Chaguo za Kitanda
Bed Construction
Reli Mbili
Reli za Kitanda zenye Pembe
Reli Moja
Viendelezi vya Kitanda
Vyuma vya Kuongeza Urefu wa Kitanda: mita 1.95 au mita 2.7
Kifurushi cha Trela
Si lazima
Kutumia Gogo
Mwenyewe
Kitanda cha S3 (Vipande 3 vya mita 1.95): Vyuma 6 vya Kuzuia Gogo Kuanguka, Vibanio 3 Vinavyofungwa kwa Mkono Kitanda cha M2 (Vipande 2 vya mita 2.7): Vyuma 4 vya Kuzuia Gogo Kuanguka, Vianio 2 Vinavyofungwa kwa Mkono Kabari ya kuzuia gogo kusonga
Hidroli ya KAWAIDA
Si lazima
Hidroli Mahiri
Si lazima
Vipengele na Chaguo za Mashine ya Kuchana Mbao
Uundaji wa Fremu
Vyuma 2 vya Wima Vinavyokinga Gogo Lisianguke
Masharti ya Nishati
V 400 / A 11 (kilowati 5.5) V 400 V / A 16 (kilowati 7.5)
Viwango
CE
Chaguo
Njia za Kupakia Gogo Kifaa cha Kuinua na Kubingirisha Magogo Mashine ya Kuranda/Kukata Mbao Zenye Mchongo Fulani ya MP100
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao ya LT15START
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!