Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B

In stock
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Low-cost commercial timber production
Mashine ya kuchana mbao ya bei nafuu na yenye utendakazi wa kuaminika iliyo na vipengele vizuri na ufungaji wake ni rahisi.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B
Designed to be a low-cost timber production sawmill that can be installed quickly and easily, the LT20B is a popular all-in-one solution for small- to medium-sized timber businesses as well as larger businesses looking to diversify into new products more easily. The LT20B cuts logs up to 80 cm in diameter and 4.8-8.4 m long with the standard bed options. In order to cut longer logs, bed extensions can be added to extend the sawmill bed to any required cutting length. The LT20B bed’s low height is uniquely designed for affordable production purposes. All log handling features are manual operated. Logs are secured to the bed by the log clamp and adjustable backstops. Toe boards adjust for log taper with a manual crank. The LT20B sawmill head retains the same productivity features of Wood-Mizer’s premium range. With the standard electronic SW Setworks, simply select the board thickness required and the head height automatically positions for each cut - no waiting for manual calculations. Forward and reverse movement is made by the variable speed power feed. A water tank feeds lubrication directly to the blade to improve cutting performance and keep the blade clean. The adjustable blade guide arm keeps the blade well-supported while cutting different sized material. Blade tension is easily adjusted, and keeps the blade at the proper tension for cutting. Wood-Mizer’s wide range of affordable blades are designed for all cutting requirements, and deliver maximum log yield and minimal waste of the valuable timber. Popular Options Add a Debarker which prolongs blade life by clearing away dirt and rocks from the bark. The Remote Operator Station is the perfect way to set up your operator in one place with centralised controls. Petrol and diesel engine options available.

Mashine ya kuchana mbao ya LT20B ni mashine ya bei nafuu yenye utendakazi wa kuaminika, ni mashine maarufu kwa kuwa ni suluhu kamili kwa biashara ndogo na za kati za mbao na pia kwa biashara kubwa za mbao zinazotaka kutengeneza bidhaa mpya kwa urahisi.

LT20B hukata magogo yenye kipenyo cha sentimita 70 na urefu wa mita 4.8 - 8.4 kwa kutumia chaguo ya kitanda cha kawaida. Ili kukata magogo marefu, vyuma vinaweza kuongezwa ili kupanua kitanda cha mashine ya kuchana mbao kwa urefu unaohitajika. Kitanda cha LT20B kilicho chini kwa urefu kimeunda kwa njia ya kipekee ili kuwezesha uzalishaji kwa bei nafuu. Vipengele vyote vinavyohusisha magogo vinaendeshwa kwa mikono. Magogo hufungiwa kwenye kitanda kwa kutumia vibanio na vyuma vya kuzuia magogo kuanguka vinavyoweza kusongeshwa. Miguu ya kitanda huweza kuinuliwa au kushushwa wakati wa kuchana magogo ambayo upande moja ni mkubwa kuliko mwingine kwa kupinda kishikio kwa mkono.

Kichwa cha mashine ya LT20B kina sifa sawa za uzalishaji kama za mashine kubwa za Wood-Mizer. Kutokana na kuwepo kwa Mfumo wa elektroniki wa Kusongesha, Kichwa cha Mashine Kiotomatiki, chagua unene na urefu wa ubao unaohitajika na kichwa cha mashine kitasogea kiotomatiki kwa kila hatua ya kukata – hakuna kupoteza muda ukikokotoa. Kusonga mbele na kurudi nyuma kwa kichwa cha mashine kinawezeshwa na mashine inayotumia nishati kusongesha kichwa cha mashine.

Tangi la maji hutoa ulainisho wa moja kwa moja kwenye msumeno ili kuboresha ukataji na kuhakikisha kuwa msumeno unabakia safi. Mkono wa kuelekeza msumeno unaoweza kubadilishwa hutoa uhimili kwa msumeno wakati wa kukata magogo yenye ukubwa tofauti. Mashine hii ina sehemu ya kukazia msumeno, hivyo huhakikisha kuwa msumeno umekazwa ipasavyo. Misumeno mbalimbali ya bei nafuu ya Wood-Mizer imeundwa kwa mahitaji yote ya uchanaji wa mbao, na hutoa idadi ya juu ya mbao kutoka kwenye gogo na huhakikisha kuwa hakuna uchanaji wowote unaoleta hasara.

Chaguo Zinazopendwa na Wengi

Ongeza Mashine ya kuondoa magome ambayo huongeza muda wa matumizi ya msumeno kwa kuondoa uchafu na mawe kutoka kwenye gome. Kituo cha Kudhibiti Utendakazi ndiyo njia kamili ya kumweka fundi wa mitambo wa mashine katika sehemu moja palipo na vidhibiti vyote. Chaguo za injini ya petroli na dizeli zipo.

Read More
Video Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B
Vipengele vya Mashine Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B
More Information Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B
More Information
Nishati
Nishati kilowati 11 kW (E15) Umeme
HP 25 Petroli
HP 22 Dizeli
Uwezo wa Kukata
Kima cha juu cha Kipenyo cha Gogo 80 cm
Kima cha juu zaidi cha Mbao 65 cm
Kima cha Juu zaidi cha Boriti 58 cm
Kima cha juu zaidi Kina cha Mbao 25 cm
Sifa na Machaguo ya Kichwa
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki SW10 (kwa aina za AC)
Kichwa Juu/Chini Umeme
Kichwa Kuelekea Mbele/Nyuma Umeme
Mkono wa Kuelekeza Msumeno Umeme
Mfumo wa Ulainishaji wa Msumeno Vavu ya Kielektroniki
Mfumo wa Kukaza Msumeno Skrubu iliyo na Geji
Mashine ya kuondoa magome Si lazima
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi 101.6 mm (4'')
Chaguo Nyingine Kituo cha Uendeshaji (Pazia)
Msumeno
Urefu 4010 mm
Upana 32 mm
35 mm
Magurudumu ya Msumeno
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno 483 mm
Aina ya Gurudumu la Msumeno Ina Mikanda
Nyenzo ya Gurudumu la Msumeno Aloi ya Chuma na Kaboni
Sifa na Chaguo za Kitanda
Bed Construction Reli moja
Reli za Kitanda zenye Pembe Reli Moja
Viendelezi vya Kitanda Vyuma vya Kuongeza Urefu wa Kitanda: mita 2
Kifurushi cha Trela N/A
Kutumia Gogo
Mwenyewe Vyuma 3 vya Kukinga Gogo Lisianguke, Kibanio 1 Kinachofungwa kwa Mkono
Hidroli ya KAWAIDA Si lazima
Hidroli Mahiri Si lazima
Vipengele na Chaguo za Mashine ya Kuchana Mbao
Uundaji wa Fremu Kibanio cha Katikati kwenye Fito Mbili
Viwango CE
Chaguo Njia za Kupakia Gogo
Kifaa cha Kuinua na Kubingirisha Magogo
Pata Nukuu ya Bei Mashine ya Kuchana Mbao ya LT20B
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!