Mashine hii imeundwa kama mashine iliyo rahisi kutumia lakini inaweza kufanya kazi ngumu ili kuhimili hali ngumu ya kufanya kazi huku ikitoa uzalishaji thabiti wa mbao.
The LT40 Sawmill Series is the backbone of thousands of successful wood processing businesses worldwide. It is ruggedly constructed to withstand demanding working conditions while delivering consistent timber production.
The LT40 cuts logs up to 90 cm in diameter and 5-8.6 m long. Manual, hydraulic, or Super Hydraulic log handling configurations are available to match productivity and budget requirements.
With the standard electronic SW Setworks, simply select the board thickness required and the head height automatically positions for each cut - no waiting for calculations. Forward and reverse movement is made by the adjustable power feed. A water tank feeds lubrication directly to the blade to improve cutting performance and keep the blade clean. The electric blade guide arm keeps the blade supported while cutting various sized material. Blade tension is easily adjusted, and keeps the blade at the proper tension for cutting. Wood-Mizer’s wide range of affordable blades are designed for all cutting requirements, and deliver maximum log yield and minimal waste of the valuable timber.
Popular Options
With the optional trailer package, the sawmill can be made fully mobile. The optional Debarker prolongs blade life by clearing away dirt and rocks from the bark. Various electric, petrol and diesel engine options are available.
Mashine ya Kuchana Mbao ya LT40 ni mashine muhimu inayotumiwa na maefu ya biashara za usindikaji wa mbao zilizofanikiwa kote ulimwenguni. Mashine hii imeundwa kama mashine iliyo rahisi kutumia lakini inaweza kufanya kazi ngumu ili kuhimili hali ngumu ya kufanya kazi huku ikitoa uzalishaji thabiti wa mbao.
LT40 hukata magogo yenye kipenyo cha sentimita 90 na urefu wa mita 5 - 8.6. Mifumo ya kupakia, kusongesha na kubingirisha gogo kwenye kitanda kwa kutumia Mikono, Haidroli na Haidroli Mahiri ipo kwa kutegemea uzalishaji unaohitajika na uwezo wa kifedha wa mnunuzi.
Kwa kutumia Mfumo wa Kusongesha Kichwa cha Mashine Kiotomatiki, chagua unene na urefu wa ubao unaohitajika na kichwa cha mashine kitasogea kiotomatiki kwa kila hatua ya kukata gogo – hakuna kupoteza muda ukikokotoa. Kusonga mbele na kurudi nyuma kwa kichwa cha mashine kinawezeshwa na mashine inayotumia nishati. Tangi la maji hutoa ulainisho wa moja kwa moja kwenye msumeno ili kuboresha ukataji na kuhakikisha kuwa msumeno unabakia safi. Mkono wa kuelekeza msumeno unaoweza kubadilishwa hutoa uhimili kwa msumeno wakati wa kukata magogo yenye ukubwa tofauti. Mashine hii ina sehemu ya kukazia msumeno, hivyo huhakikisha kuwa msumeno umekazwa ipasavyo. Misumeno mbalimbali ya bei nafuu ya Wood-Mizer imeundwa kwa mahitaji yote ya uchanaji wa mbao, na hutoa idadi ya juu ya mbao kutoka kwenye gogo na huhakikisha kuwa hakuna uchanaji wowote unaoleta hasara.
Chaguo Zinazopendwa na Wengi
Kutokana na chaguo la hiari la kuweka mashine kwenye trela, mashine inaweza kutumiwa mahali popote. Mashine ya kuondoa magome inayowekwa kwa hiari huongeza muda wa matumizi ya msumeno kwa kuondoa uchafu na mawe kutoka kwenye gome. Chaguo tofauti za injini inayotumia umeme, petroli na dizeli zipo.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao ya LT40
Vipengele vya MashineMashine ya Kuchana Mbao ya LT40
More InformationMashine ya Kuchana Mbao ya LT40
More Information
Nishati
Nishati
kilowati 11 kW (E15) Umeme kilowati 15 (E20) Umeme kilowati 18.5 kW Umeme HP 28 Petroli HP 38 Petroli 25 HP Diesel 33 HP Diesel
Uwezo wa Kukata
Kima cha juu cha Kipenyo cha Gogo
90 cm
Kima cha juu zaidi cha Mbao
72 cm
Kima cha Juu zaidi cha Boriti
63 cm
Kima cha juu zaidi Kina cha Mbao
35 cm
Sifa na Machaguo ya Kichwa
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki
SW10 (kwa aina za AC) SW PLC1 (kwa aina za AC) SW PLC2 (kwa aina za AC) Accuset2 (kwa aina za AC and DC)
Kichwa Juu/Chini
Umeme
Kichwa Kuelekea Mbele/Nyuma
Umeme
Mkono wa Kuelekeza Msumeno
Umeme
Mfumo wa Ulainishaji wa Msumeno
Vavu ya Kielektroniki LubeMizer
Mfumo wa Kukaza Msumeno
Chuma Kinachokaza Msumeno Kinachotumia Nishati Inayotokana na Maji chenye Geji
Mashine ya kuondoa magome
Si lazima
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi
150 mm
Msumeno
Urefu
4010 mm
Upana
32 mm 35 mm 38 mm
Unene
1.00 mm 1.07 mm 1.14 mm
Magurudumu ya Msumeno
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
483 mm
Aina ya Gurudumu la Msumeno
Ina Mikanda
Nyenzo ya Gurudumu la Msumeno
Aloi ya Chuma na Kaboni
Sifa na Chaguo za Kitanda
Bed Construction
Reli moja
Reli za Kitanda zenye Pembe
Si lazima
Viendelezi vya Kitanda
Urefu wa Kitanda Ulioongezwa: mita 0.5 Urefu wa Kitanda Ulioongezwa: mita 0.9 Urefu wa Kitanda Ulioongezwa Unaorefushwa kwa Mkono au Nishati inayotokana na Maji: mita 1.8 , mita 3.6 au mita 7.2
Kifurushi cha Trela
Si lazima
Kutumia Gogo
Mwenyewe
Kingo za Mashine Zinazozuia Gogo Kuanguka Vyuma vya Kuzuia Gogo Lisianguke Kibanio Winchi ya Kugeuza Magogo Kifaa cha Kupakia Gogo (Pampu ya Kuendeshwa kwa Mkono)
Hidroli ya KAWAIDA
Vyuma 3 Vya Kukinga Gogo Lisianguke Kibanio cha Katikati Kwenye Fito Mbili Kifaa cha Kugeuza Gogo Rola za Kusawazisha Gogo Vibanzi vya Kikinga Magogo Kusonga Kifaa cha Kupakia Gogo
Hidroli Mahiri
Kigeuza Nyororo Uegemeza wa Pande Mbili Wima Kibanio cha Katikati Kwenye Fito Mbili Rola ya Kusawazisha Magogo Rola ya Umeme yenye Silinda Mbili Vibanzi vya Kikinga Magogo Kusonga Kifaa cha Kupakia Gogo
Vipengele na Chaguo za Mashine ya Kuchana Mbao
Uundaji wa Fremu
Kibanio cha Katikati kwenye Fito Mbili
Viwango
CE
Chaguo
Meza ya Kuchania Gogo Kanda Safirishi Iliyobetuka Meza yenye Rola Meza ya Kupitisha Gogo Rola Inayosongesha Gogo
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao ya LT40
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!