The LT70 Sawmill Series is designed to meet the demands of the modern high production sawmilling enterprise, while incorporating thin-kerf blade technology to increase profits.
The LT70 comes standard with belted blade wheels for running 32-38 mm blades. Optional you can order wider crowned cast iron wheels to run 50 mm blades. The larger blade wheels and 50 mm blades can be ordered only for the STANDARD head width.
Log handling with the LT70 can be configured for the exact needs of your business – Manual, Hydraulic, or Super Hydraulic log handling configurations are available to match productivity and budget requirements. With the powerful Accuset or PLC computer Setworks, the operator can focus on high quality production and keep the blade in the log more of the time.
The high performance LubeMizer blade lubrication system keeps the blade clean and enhances sawing performance. Wood-Mizer’s wide range of affordable blades are designed for all cutting requirements, and deliver maximum log yield and minimal waste of valuable timber.
Popular Options
Full mobility for your sawmill can be achieved with the addition of a trailer package. The optional Debarker prolongs blade life by clearing away dirt and rocks from the bark. Various electric and diesel engine options are available.
Mashine za Kuchana Mbao za LT70 zimetengenezwa ili kukidhi mahitaji ya makampuni ya kisasa zenye uzalishaji wa juu, huku ikijumuisha teknolojia ya msumeno wa mkanda wa kerf ili kuongeza faida.
Mashine ya LT70 inakuja na magurudumu ya msumeno ya mikanda ya kuendesha misumeno ya milimita 32 - 38. Kwa hiari yako, unaweza kuagiza magurudumu ya chuma ya kuendesha misumeno ya milimita 50. Magurudumu makubwa ya msumeno na misumeno ya milimita 50 inaweza kuagizwa tu matumizi katika kichwa chenye upana SANIFU.
Kupakia, kusongesha na kubingirisha gogo kwenye kitanda kwa kutumia LT70 kunaweza kusanidiwa kwa ajili ya mahitaji halisi ya biashara yako – Mifumo ya kuweka, kusongesha na kubingirisha gogo kwenye kitanda ya kutumia Mikono, Haidroli na Haidroli Bora ipo kwa kutegemea uzalishaji na uwezo wa kifedha wa mnunuzi. Kwa kutumia Accuset au Mifumo wa Kusongesha Kichwa ya Kompyuta ya PLC, mwendeshaji anaweza kuzingatia uzalishaji wa hali ya juu na kuhakikisha kuwa anatumia muda wake mwingi kuchana mbao.
Mfumo mzuri wa ulainishaji wa msumeno wa LubeMizer huboresha uchanaji na kuhakikisha kuwa unabakia safi. Misumeno mbalimbali ya bei nafuu ya Wood-Mizer imeundwa kwa mahitaji yote ya uchanaji wa mbao, na hutoa idadi ya juu ya mbao kutoka kwenye gogo na huhakikisha kuwa hakuna uchanaji wowote unaoleta hasara.
Chaguo Zinazopendwa na Wengi
Mashine inaweza kupelekwa popote kwa urahisi kwa kuwekwa kwenye trela. Mashine ya kuondoa magome ambayo si ya lazima huongeza muda wa matumizi ya msumeno kwa kuondoa uchafu na mawe kutoka kwenye gome. Chaguo tofauti za injini ya umeme na dizeli zipo.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao ya LT70
Vipengele vya MashineMashine ya Kuchana Mbao ya LT70
SW10 (kwa aina za AC) SW PLC1 (kwa aina za AC) SW PLC2 (kwa aina za AC) Accuset2 (kwa aina za AC and DC)
Kichwa Juu/Chini
Umeme
Kichwa Kuelekea Mbele/Nyuma
Umeme
Mkono wa Kuelekeza Msumeno
Umeme
Mfumo wa Ulainishaji wa Msumeno
LubeMizer
Mfumo wa Kukaza Msumeno
Kifaa cha Kukaza Msumeno Kinachotumia Nishati Inayotokana na Maji
Mashine ya kuondoa magome
Si lazima
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi
150 mm
Chaguo Nyingine
Mistari ya Lesa Kituo cha Kuendesha Mashine Kutoka Mbali (Kwa Kutumia Nyaya au Pazia) Mfumo wa Kutoa Mbao Kiotomatiki Rola, Sehemu ya Kuendesha Msumeno yenye Vizuizi Viwili
Msumeno
Urefu
4670 mm
Upana
38 mm 50 mm
Magurudumu ya Msumeno
Kipenyo cha Gurudumu la Msumeno
600 mm
Aina ya Gurudumu la Msumeno
Ina Mikanda
Nyenzo ya Gurudumu la Msumeno
Aloi ya Chuma na Kaboni
Sifa na Chaguo za Kitanda
Bed Construction
Reli moja
Reli za Kitanda zenye Pembe
Si lazima
Viendelezi vya Kitanda
Urefu wa Kitanda Ulioongezwa: mita 0.5 Urefu wa Kitanda Ulioongezwa: mita 0.9 Urefu wa Kitanda Ulioongezwa Unaorefushwa kwa Mkono au Nishati inayotokana na Maji: mita 1.8 , mita 3.6 au mita 7.2
Kifurushi cha Trela
Si lazima
Kutumia Gogo
Mwenyewe
Kingo za Mashine Zinazozuia Gogo Kuanguka Vyuma vya Kuzuia Gogo Lisianguke Kibanio Winchi ya Kugeuza Magogo Kifaa cha Kupakia Gogo (Pampu ya Kuendeshwa kwa Mkono)
Hidroli ya KAWAIDA
Vyuma 3 Vya Kukinga Gogo Lisianguke Kibanio cha Katikati Kwenye Fito Mbili Kifaa cha Kugeuza Gogo Rola za Kusawazisha Gogo Vibanzi vya Kikinga Magogo Kusonga Kifaa cha Kupakia Gogo
Hidroli Mahiri
Kigeuza Nyororo Uegemeza wa Pande Mbili Wima Kibanio cha Katikati Kwenye Fito Mbili Rola ya Kusawazisha Magogo Rola ya Umeme yenye Silinda Mbili Vibanzi vya Kikinga Magogo Kusonga Kifaa cha Kupakia Gogo
Vipengele na Chaguo za Mashine ya Kuchana Mbao
Uundaji wa Fremu
Kibanio cha Katikati kwenye Fito Mbili
Viwango
CE
Chaguo
Meza ya Kuchania Gogo Kanda Safirishi Iliyobetuka Meza yenye Rola Meza ya Kupitisha Gogo Rola Inayosongesha Gogo
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao ya LT70
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!