MaelezoMashine ya Kuchana Mbao ya MS300 Inayowekwa kwa Meza
The MS300 is a solid precision table saw with large capacity and a minimal footprint, making it ideal for any workshop. Its cast iron base and wide sliding table enables you to achieve high accuracy and repeatability cut after cut.
With a large cutting depth, a 45 degree tilting capacity, and large rip capacity, it makes this saw ideal professional workshop. The base is made from cast iron for sturdy and stable operation. The sliding table runs on large ball bearings for smooth and accurate cuts. The angle and the height of the blade can be precisely adjusted. The board fence is micro-adjustable when you need absolute precision. The angled fence on the sliding table can be positioned on either side of the table, depending on whether you need to push the wood with the fence, or against the fence during the cut.
Various options are available like a SUVA blade guard and an extension for the sliding table. Chip extraction is located under the blade, and the blade guard can also be connected to a chip extractor. Additional material clamps and circular blades for various kinds of material are available.
If you need a compact table saw but also need truly professional accuracy and dependability, the MS300 is for you.
MS300 ni mashine inayokata kwa usahihi wa juu yenye uwezo wa kufanya kazi kubwa au ndogo, hivyo kuifanya kuwa mashine bora kwa karakana yoyote. Msingi wake wa chuma na meza inayosonga inakuwezesha kupata usahihi wa hali ya juu na uwezo wa kuchana mbao zinazofanana kabisa kila wakati.
Mashine hii ina kina kikubwa cha kukata, uwezo wa kuinamishwa kwa digrii 45, na nafasi kubwa kati ya ukingo wa msumeno na uzio, hivyo kufanya mashine hii kuwa ya kufaa kwa kazi zote za karakana. Msingi wa mashine ni wa chuma ili kuhakikisha kuwa ni dhabiti wakati inapofanya kazi. Meza inayosongwa huendeshwa na beringi gololi ili kuhakikisha kuwa mashine inakata mbao laini na sahihi. Pembe na urefu wa msumeno unaweza kubadilishwa kwa urahisi. Uzio wa bodi unaweza kubadilishwa kidogo wakati unahitaji usahihi wa hali ya juu. Uzio wenye pembe kwenye meza ya kupitisha mbao unaweza kuwekwa kwa upande wowote wa meza, kutegemea ikiwa unahitaji kusukuma mbao pamoja na uzio, au dhidi ya uzio wakati wa kukata.
Kuna chaguo zingine zilizopo kama vile kilinda msumeno cha SUVA na vyuma vya kuongeza meza ya kupitishia mbao. Mfumo wa kutoa vipande vidogo vya mbao upo chini ya msumeno, na kilinda msumeno kinaweza kuunganishwa na kifaa cha kutoa vipande vidogo vya mbao. Kuna vibanio na misumeno ya mviringo zaidi kwa ajili ya aina tofauti za mbao zilizopo.
Ikiwa unahitaji mashine ndogo ya kuchana mbao lakini unahitaji usahihi na uthabiti wa kitaalamu pia, basi mashine ya MS300 ipo kwa ajili yako.
Read More
VideoMashine ya Kuchana Mbao ya MS300 Inayowekwa kwa Meza
Vipengele vya MashineMashine ya Kuchana Mbao ya MS300 Inayowekwa kwa Meza
More InformationMashine ya Kuchana Mbao ya MS300 Inayowekwa kwa Meza
More Information
Nishati
Uteuzi wa Nishati
3kW (4HP) 3Ph electric 2.2kW (3HP) 1Ph electric
Uwezo wa Kukata
Urefu wa mashine ya kuchana mbao
103mm (4")
Umbali kati ya msumemo wa mashine ya kuchana mbao na uzio wa kukata
800mm (31.5")
Urefu wa meza ya kutelezea
1100mm (43") 1400mm (55")
Upana wa meza ya kutelezea
350mm (13.75")
Urefu wa kutelezea
1085 mm (42.7") 1235 mm (48.6")
Urefu wa Meza
900 mm (35.4")
Upana wa meza (jumla)
750 mm (29.5")
Msumeno wa mviringo
Kipenyo cha Msumeno
315 mm (12.4")
Kasi ya mronjo
4400RPM
Kipenyo cha mrinjo (kawaida)
30mm (1.2")
Pembe ya Mgeuzo wa Msumeno
0º - 45º
Chaguo na vifaa
Options
Optional SUVA Guard Extension tables for the rip fence 440 x 900 mm Extra extension table for sliding table 500 x 350 mm Clamping device for sliding table
Pata Nukuu ya BeiMashine ya Kuchana Mbao ya MS300 Inayowekwa kwa Meza
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!