Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Mashine ya Kukata Kingo za Mbao ya EG300

In stock
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Efficient, Multi-rip Edging
Mashine hii iliyo na uwezo wa kukata kingo za mbao na kuchana mbao nyingi kwa wakti mmoja, inahakikisha kuwa kila bao limechanwa kikamilifu ili kuongeza uzalishaji wa kiwanda cha kuchana mbao.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Mashine ya Kukata Kingo za Mbao ya EG300
The EG300 is engineered as a stand alone twin blade or multrip board edger or integrated into a larger operation depending on your business needs. The wide infeed and powerful electric motor have plenty of power to handle most boards. The EG300 comes standard with Setworks and two blades (one moveable). Up to three additional blades can be added for full function multirip capability. Using its multi-rip capabilities, you can easily preset up to three widths allowing the operator to edge slabs for maximum recovery. Increase your operation's productivity with the EG300 multirip board edger.

EG300 ni mashine moja inayofanya kazi za kukata kingo za mbao na kuchana mbao nyingi kwa wakati mmoja. EG300 huhakikisha kuwa kila bao limechanwa kikamilifu hivyo kuongeza uzalishaji wa jumla wa kiwanda chako kwa asilimia 20 - 30.

Kwa kawaida yake, mashine ya EG300 huwa na misumeno miwili ya mviringo inayotumiwa kukata kingo za mbao. Msumeno moja hauwezi kusongeshwa na mwingine unaweza kusongeshwa na mwendeshaji kutoka sehemu ya kuendesha mashine – kwa kutumia mfumo wa kielekroniki wa Kusongesha Kichwa cha Mashine Kiotomatiki kwa kuweka upana wa mbao zinazohitajika kabla ya kuanza kuchana. Leza zinaweza kuongezwa kwa hiari ili kumsaidia mwendeshaji kubaini upana sahihi kwa matumizi ya mbao kikamilifu.

Mashine ya EG300 ina vipengele vitatu – sehemu inayochana mbao, meza ya kuingizia mbao na meza ya kutolea mbao. Mashine hii imetengenezwa kwa namna ambayo ina sehemu nyingi kufunguliwa kando, hii hurarahisisha usafirishaji, kubeba, na kufungwa kwa sehemu tofauti.

Rola mbili zilizo juu ya mashine hurahisisha hatua ya kurudisha bao kwenye meza ya kuingizia ili kukata kwa mara mara nyingine. Uzio unaoweza kusongeshwa humruhusu mwendeshaji kuweka haraka mbao zilizo na kingo laini tayari.

Kwa hiari, EG300 inaweza kuwekewa hadi misumeno tano za mviringo ili kuchana mbao nyingi kwa wakati mmoja. Misumeno nne huwekwa sehemu maalum ili kukata upana sanifu na wa tano unaweza kusongeshwa. Kubadilisha matumizi ya mashine kutoka ukataji wa kingo hadi kuchana mbao nyingi kwa wakati mmoja ni rahisi, na mundo huu unaoweza kubadilishwa kwa urahisi humruhusu mwendeshaji kubadilisha haraka ili kukidhi mahitaji ya wateja. Kuna aina nyingi za mashine inayotumia nishati kusongesha mbao mbele kuanzia ile inayosonga kwa mita 0 - 20 kwa dakika.

Read More
Vipengele vya Mashine Mashine ya Kukata Kingo za Mbao ya EG300
More Information Mashine ya Kukata Kingo za Mbao ya EG300
More Information
Uteuzi wa Nishati
Uteuzi wa Nishati 8.5kW electric
15kW (20HP) electric
18.6kW (25HP) electric
Uwezo wa Kukata
Kima cha Chini Zaidi cha Upana wa Mbao 17mm (11/16")
mm 60 mm (2.36") (kulainisha ukingo)
Kima cha Juu Zaidi Unene wa Nyenzo 60mm (2.36")
Msumeno
Kasi ya Msumeno (RPM) RPM 2940 (Hz 50)
RPM 3520 (Hz 60)
Idadi ya Misumeno 2-5
Kipenyo cha Msumeno 350 mm (13.75")
Kerf ya Msumeno 4 mm (0.16")
Njia ya Kurekebisha Msumeno Umeme
Mkao wa msumeno Limewekwa upande wa kulia
Sistema de avance & Operación
Kasi ya Mzunguko m 0-20 kwa dakika (ft 0-65 kwa dakika)
Uzuiaji wa Kikwazo cha Bodi Kifaa cha Kuzuia Vipande Vidogo vya Mbao Kumpata Mwendeshaji
Mpangilio wa Bodi Lesa Zinazowekwa kwa Hiari
Uzio wa Ubao wa Ukingo Nyoofu Uzio wa Meza Unaoweza Kusongeshwa
Kishikilia Nyenzo Rola za Feleji Zinazoendeshwa na Nishati
Kipengele cha Kuchana Mbao Nyingi Misumeno Kadhaa Inayochana Mbao Nyingi kwa Wakati Mmoja
Vidhibiti vya Operata Kituo cha Kudhibiti Uendeshaji Kilicho Kisichosonga
Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki Mfumo wa Kusongeza kichwa cha mashine kiotomatiki
Sistema de alimentación 4 powered rollers
Options Outfeed table
Cant outfeed tailer
Vipimo na Masharti ya Mshine
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi 150mm (6")
Masharti ya Umeme V 400 Hz 50 Ph 3 A 40f
Viwango vya Usalama CE
Pata Nukuu ya Bei Mashine ya Kukata Kingo za Mbao ya EG300
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!