Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Mashine ya Kukata Kingo za Mbao yenye Misumeno Miwili ya EG100

In stock
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Twin Blade Edger
Mashine ya kukata kingo za mbao yenye misumeno miwili ya EG100 imetengenezwa kama suluhisho la bei nafuu kwa wachanaji wa mbao ili kuongeza uzalishaji wao.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
  • Hold-down rollers
  • Is inexpensive to maintain.
  • Ultra-Compact Design
Maelezo Mashine ya Kukata Kingo za Mbao yenye Misumeno Miwili ya EG100

The EG100 twin-blade edger is designed to be an affordable solution for sawmillers to boost their productivity.

Two circular blades are provided standard, one is fixed, and the other adjustable. A removable board fence makes it easy to trim boards that already have one straight side.

The EG100 breaks down into a compact configuration for shipment.

Mashine ya kukata kingo za mbao yenye misumeno miwili ya EG100 imetengenezwa kama suluhisho la bei nafuu kwa wachanaji wa mbao ili kuongeza uzalishaji wao.

Mashine hii ina misumeno miwili ya mviringo, mmoja huja kama hauwezi kusongeshwa, na mwingine unaweza kusongeshwa. Uzio wa bodi unaoweza kuondolewa huwezesha kukata mbao ambazo tayari zina upande mmoja ulionyooka.

Mashine hii ya EG100 huweza kufunguliwa kwa vijisehemu vidogo ili kurahisisha usafirishaji.

Read More
More Information Mashine ya Kukata Kingo za Mbao yenye Misumeno Miwili ya EG100
More Information
Uteuzi wa Nishati
Uteuzi wa Nishati 7.5kW (10HP) electric
10.4kW (14HP) petrol
Uwezo wa Kukata
Kima cha Juu Zaidi cha Upana wa Mzunguko 520mm
Kima cha Juu Zaidi cha Upana wa Mbao 30cm (11.7")
Kima cha Chini Zaidi cha Upana wa Mbao 40 mm (1.5”)
Kima cha Juu Zaidi Unene wa Nyenzo 50mm (2")
Msumeno
Idadi ya Misumeno 2
Kipenyo cha Msumeno 250 mm (10")
Sistema de avance & Operación
Kasi ya Mzunguko m 0-14 kwa dakika (ft 0-46 kwa dakika)
m 9 kwa dakika (ft 30 kwa dakika) Aina ya gesi (US)
Pata Nukuu ya Bei Mashine ya Kukata Kingo za Mbao yenye Misumeno Miwili ya EG100
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!