Two essential workshop tools in one machine!
Kila karakana huhitaji mashine ya kuranda na kulainisha kingo za mbao (Mashine ya Kuranda/ya Kuchonga Unene wa Mbao) ili kuhakikisha kuwa inatoa mbao zenye usahihi wa hali ya juu. Kwa kutumia Mashine ya MP160 ya Kuranda/Kulainisha Kingo za Mbao (Mashine ya Kuranda/ya Kuchonga Unene wa Mbao) unapata mashine moja ndogo inayofanya kazi kwa ufanisi!
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Mashine ya MP160 ya Kuranda/ya Kuchonga Unene

Every workshop needs a jointer and a planer (Planer / Thicknesser) in order to produce accurately dimensioned boards. With Wood-Mizer’s MP160 Jointer / Planer (Planer / Thicknesser), you get both in one efficient and compact machine! Take your bowed or cupped rough sawn timber and get it in perfect shape for whatever project you have in mind.

The MP160 efficiently shares one horizontal cutter between two cast iron tables – the upper table for jointing (planing) and the lower table for planing (thicknessing). No alterations are needed to switch between jointing (planing) and planing (thicknessing) – switch between the two functions easily without stopping the cutter or extractor. You start by using the top table for jointing (planing) – making two adjoining sides perfectly flat and at a precise right angle to each other. You manually advance the board over the cutter by hand. Then you use the bottom table for planing (thicknessing) the last two sides to be parallel to the first two, thicknessing the board to its final dimensions.

A safety guard keeps your hands safe during jointing (planing). The board fence tilts up to 45 degrees for jointing angled boards. The top and bottom tables can be adjusted as needed, and the infeed and outfeed tables always remain parallel to each other. The outfeed table can be fine-adjusted. Two power rollers pull your board under the cutter. The power feed has an industrial gearbox.

The MP160 is all you need to produce furniture-grade timber.

MP160 ina sehemu moja ya kukata inayotumiwa kati ya meza mbili za chuma – meza ya juu ya kulainisha (kuranda) kingo za mbao na meza ya chini ya kuranda (kuchonga unene wa mbao). Hakuna maadiliko yanayohitajika kufanywa ili kubadilisha kutoka kulainisha (kuranda) kingo za mbao hadi kuranda (kuchonga unene wa mbao) – badilisha kazi hizo mbili za mashine kwa urahisi bila kusimamisha sehemu inayokata. Unaanza kwa kutumia meza ya juu ya kulainisha (kuranda) kingo za mbao – ili kufanya pande mbili za mbao kuwa laini kabisa na zenye pembe za kulia kati yazo. Unasongesha mbao kwa mkono juu ya sehemu inayokata kwa kutumia mkono. Kisha unatumia meza ya chini kuranda (kuchonga unene wa mbao) pande mbili za mwisho ili zilingane na zile mbili za kwanza, na kuchonga mbao hadi ufikie vipimo vyake vinavyohitajika.

Kuna kifaa cha kulinda mkono wako dhidi ya kukatwa wakati wa kulainisha (kuranda) kingo za mbao. Uzio wa mbao huinama hadi digrii 45 ili kulainisha mbao zenye pembe tofauti. Meza ya juu na ya chini zinaweza kurekebishwa kama inavyohitajika, na meza za kuingizia na kutolea mbao daima hubaki sambamba kwa kila mmoja. Meza ya kutolea mbao inaweza kurekebishwa zaidi. Rola zinazotumia nishati zilizo chini ya sehemu inayokata huvuta mbao. Mtambo unaotumia nishati kuvuta mbao hutumia giaboksi.

MP160 ni mashine unayohitaji ili kuzalisha mbao za kiwango cha juu za kutengeneza samani.

Read More
More Information Mashine ya MP160 ya Kuranda/ya Kuchonga Unene
More Information
Kikataji mlalo
Kipenyo 72 mm
Kasi 5600 RPM
Kupiga randa
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu 310 mm
Urefu wa Meza 1400 mm
Kima cha Juu Zaidi cha Kina cha Ukataji 8 mm
Uzio 152 x 1100 mm
Kuweka Unene
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu 260 mm
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu 410 mm
Urefu wa Meza 630 mm
Kima cha Juu Zaidi cha Kina cha Ukataji 4 mm
Sistema de alimentación
Mota ya Mzunguko Kilowati 0.18 (0.25 HP), umeme unaosambazwa kwa nyaya 3
Kilowati 0.37 (HP 0.5)
Kasi ya Mzunguko 5 m/min
2-12 m/min (with planetary gearbox)
Rola za Mzunguko Rola 2 za Feleji + Rola 1 ya poliyourethani
Kipenyo cha Rola ya Mzunguko 32 mm
Pata Nukuu ya Bei Mashine ya MP160 ya Kuranda/ya Kuchonga Unene
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!