Premium All-purpose Bandsaw Blade
Aloi maalum inayotumiwa kutengeneza msumeno wa MaxFLEX huhakikisha kuwa msumeno una unyumbufu wa muda mrefu na unatumika kwa muda mrefu bila kuharibika.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Misumeno ya Mkanda ya MaxFLEX

Msumeno wa MaxFLEX umeundwa kwa kutumia chuma chenye ubora wa juu, kilichochaguliwa na Wood-Mizer ili kuwashinda washindani na kuongeza utendakazi kwa wateja wa mashine za kuchana mbao.

Aloi maalum iliyotumiwa kuutengeneza huchangia kuhakikisha kuwa msumeno una unyumbufu wa muda marefu na unaweza kutumika kwa muda mrefu. Msumeno huu wenye ubora wa juu utawapa wachanaji wa mbao matokeo ya kipekee ya utendaji.

Misumeno ya MaxFLEX kwa sasa inakuja na chuma cha kutoa vumbi kinachoitwa VORTEX®.


Malighafi Mwonekano Unene / Upana (milimita)
BM1735 10/30 1.00 x 35
BM2732 10/30 1.07 x 32
BM2735 10/30 1.07 x 35
BM3732 10/30 1.14 x 32
BM3738 10/30 1.14 x 38
Read More
Pata Nukuu ya Bei Misumeno ya Mkanda ya MaxFLEX
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!