Chapisha ukurasa huu Linganisha
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako

Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260

In stock
Pata Nukuu ya Bei
Pata nukuu maalum ya bei kutoka kwa timu yetu ya mauzo kulingana na mahitaji na malengo yako
Compact and versatile four-sided planer / moulder
Mashine ya Kuranda/Kukata mbao kwa mchongo fulani yenye pande nne hurahisisha kazi ya kuchana mbao ambazo ni tayari kutumika.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260

The four-sided MP260 is a universal and compact planer/moulder designed for professional carpenters and woodworkers from the construction and building industry. It’s an easy-to-use and affordable machine which planes or moulds four sides at the same time. It allows for the production of a variety of professionally finished materials, such as floor boards, profiled boards, decorative borders, panels, window and door frames, furniture finishing elements and more.

The MP260 is an ideal choice for individuals and businesses who need an efficient, versatile and precise machine.

The MP260 features two horizontal cutterheads – the 410-mm-wide top cutterhead and the 300-mm-wide bottom cutterhead, as well as two side cutterheads, each with a maximum of 100 mm high. One of these side cutterheads is mounted on a fixed spindle, while the other one is moveable. Each side cutterhead comes standard with two HSS straight cutting knives at proper lengths. For all cutterheads, a variety of optional profile knives with different shapes and dimensions are also available. The four-sided processing operation is done in one pass which helps considerably to save time and increases the efficiency of work.

There are five feed rollers which advance the material along the cutterheads in a smooth and consistent way. Depending on needs, standard steel feed rollers can be replaced with optional hardened steel rollers for increased performance, or with optional polyurethane rollers which further protect the material surface.

The work table is made of quality cast iron, machined on modern CNC tools in order to make it as stable as possible during work. Just above the feed table, within the operator’s reach, there’s an easy-to-use control panel. The electrical motors with the total power of 12,5 kW are powerful, economical, and quiet.

The MP260 features four sawdust exhaust ports – one with the diameter of 125 mm, and the other three ports with 100 mm. All the ports are placed in the most optimal places to effectively extract the sawdust from the cutterheads, as well as to keep the workplace clean.

The machine works at a constant feed speed of 5 m/min (MP260 ECO), or at a variable feed speed at 2-11 m/min (MP260 PRO).

The rotating speed of the cutterheads reaches 6000 rpm, which guarantees smooth and esthetic surface finish of the material.

With the MP260 planer/moulder you can process the material up to the height of 100 mm, but in order to mould or profile the side surfaces of this high material, you need to adjust the machine and install the optional 100 mm high side cutterheads.

For installing cutterheads, you need to use special flattened nuts. The maximum moulding width of four-sided material processing (with 4 cutterheads engaged) is 260 mm. It can be increased to 300 mm by removing 2 side cutterheads and using two horizontal cutterheads (2-sided process), or even further increased to 410 mm at 1-sided moulding – when only the top cutterhead is engaged.

Mashine ya Kuranda/Kukata mbao kwa mchongo fulani yenye pande nne hurahisisha kazi ya kuchana mbao ambazo ni tayari kutumika.

Mashine ya Kuranda/Kukata mbao kwa mchongo fulani ya MP260 ni mashine ndogo, inayofanya kazi nyingi, iliyotengenezwa kwa ajili ya wataalamu wa kazi za mbao, maseremala, au wanaokutanisha mbao pamoja walio katika biashara ya ujenzi. Mashine hii ya MP260 ni ya bei nafuu na iliyo rahisi kuitumia, huranda na kuchonga pande zote nne za mbao kwa wakati mmoja ili kupata aina mbalimbali za bidhaa zilizokamilishwa kitaalamu ikiwa ni pamoja mbao za sakafu, mbao laini, mbao za kujengea kingo za dari, za kujenga kabati, za kujenga ukuta, fremu za milango na madirisha, na samani zingine.

Read More
Video Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260
Vipengele vya Mashine Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260
More Information Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260
More Information
Uwezo wa Mbao za Kujengea Kingo za Dari za Pande 4
Kima cha Juu Zaidi cha Upana - Urandaji wa pande 4 260mm (10 1/4")
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu - Urandaji ha pande 4 100mm (4")
Uwezo wa Mbao za Kujengea Kingo za Dari za Pande 2
Kima cha Juu Zaidi cha Upana - Urandaji wa pande 2 300mm (11 13/16")
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu - Urandaji ha pande 2 230 mm (9")
Urandaji wa upande 1 au Uwezo wa Kunenesha
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu - Urandaji wa Upande 1 410mm (16")
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu - Urandaji wa Upande 1 230mm (9")
Vipengele na Chaguo
Idadi ya Sehemu za Kutolea Vipande vya Mbao za Mlalo 2
Idadi ya Mironjo 2
Idadi ya Vilango vya Kutoa Vumbi 4
Dirisha la Kuangalia Yes
Options Infeed/Outfeed Tables 1.2m (3.9')
Transport wheels
Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu
Kipenyo cha Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu 72mm (2 7/8")
Upana wa Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu 410 mm (16.14”)
Nishati ya Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu kilowati 4 (HP 5.5)
Kasi ya Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu rpm 6000 / Hz 50
Kima cha Juu Zaidi cha Unene wa Mbao wa Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu 8mm (5/16")
Kiama cha Juu Zaidi cha Unene wa Mwonekano wa Vipande vya Mbao za Mlalo vya Juu 20mm (3/4")
Mbao ya Chini ya Mlalo
Kipenyo Mbao ya Chini ya Mlalo 72mm (2 13/16")
Upana wa Mbao ya Chini ya Mlalo 300mm (11 13/16")
Nishati ya Mbao ya Chini ya Mlalo kilowati 3 (HP4)
Kasi ya Mbao ya Chini ya Mlalo rpm 6000
Unene wa Kukata wa Mbao ya Chini ya Mlalo 0-8mm (0-5/16")
Mwonekano wa Unene wa Mbao ya Chini ya Mlalo 15mm (1/2")
Mbao Wima
Kipenyo cha Mikoronjo ya Mbao Wima 30mm (1 3/16")
Kima cha Juu Zaidi cha Urefu wa Mbao Wima 100mm (3 15/16")
Kima cha Juu Zaidi cha Kipenyo cha Mbao Wima 140mm (5 1/2")
Nishati ya Mbao Wima kilowati 3 (HP 4)
Kasi ya Mzunguko ya Mbao Wima rpm 6000
Kima cha Juu Zaidi cha Kina cha Mbao Wima 30mm (1 3/16")
Mbao Wima za Kawaida Zimejumuishwa
Aina TB90
Kipenyo 90 mm (3.5")
Urefu 40 mm (1.5")
Aina ya Kisu HSS
Upana wa Kisu 50mm (2")
Mzunguko wa Nishati
Mota ya Mzunguko Kilowati 0.37 (HP 0.5)
Kasi ya Mzunguko 2-12 m/min (6-39 ft/min) 50 Hz
2.5-14 m/min (7-47 ft/min) 60 Hz
Rola za Mzunguko Rola 4 za Feleji + Rola 1 ya Poliyourethani
Rola 5 za poliyourethani (Za Hiari)
Vipimo na Uzani
Urefu 1,100mm (43”)
Upana 900 mm (35.4")
Urefu 970mm (38")
Uzani 410kg (904 lbs)
Uzani wa Kusafirisha 495kg
Viwango na Masharti ya Mashine
Jumla ya Nishati kilowati 13.4 (HP18)
Masharti ya Umeme Unaosambazwa kwa nyaya 3, V 400-440 V, A 16
Unaosambazwa kwa nyaya 3, V 230, A 20
Unaosambazwa kwa waya 1, V 230, A 32-50
Kipenyo cha Kilango cha Ukusanyaji wa Vumbi 3 x 100 mm + 1 x 125 mm
Viwango vya Usalama CE
Pata Nukuu ya Bei Mashine Ya Kuranda/Kukata Mbao Kwa Mchongo Fulani ya MP260
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!