Economy Carbon-steel Blade for Resawing
Misumeno ya SilverTIP ni bora kwa mashine za viwanda vidogo na wastani na vile kwa viwanda vikubwa vya uchanaji wa mbao.
Benefits
  • 2 Circular Blades. 1 Adjustable Blade.
Maelezo Misumeno ya Mkanda ya SilverTIP

Misumeno hii ya bei nafuu  imetengenezwa kwa ajili ya viwanda vikubwa vya uchanaji wa mbao, msumeno huu umethibitisha kuwa ni msumeno mzuri, huku wachanaji mbao wengi wenye uzoefu wakipata matokeo mazuri kwa kuutumia katika viwanda vyao.

Nyenzo sanifu, inayoweza kunyumbulika sana hutumiwa kuongeza muda wa kutumika kwa msumeno, na meno yanafanywa kuwa magumu kwa kutumia moto. Mfumo huu unachanganya uwezo wa msumeno kuwa na makali kwa muda mrefu wa kipekee na uwezo wa kunyumbulika wa juu zaidi katika misumeno yetu za SilverTIP katika viwanda vya wastani vya uchanaji wa mbao.

Malighafi Mwonekano Unene / Upana (milimita))
BS1735 10/30 1.00 x 35
BS1740 10/30 1.00 x 40
BS1745 10/30 1.00x 45
BS1750 10/30 1.00 x 50
BS2732 10/30 1.07 x 32
BS2735 9/29, 10/30 1.07 x 35
BS2750 7/39, 9/29, 10/30 1.07 x 50
BS2775 10/30, 13/29 1.07 x 75
BS3738 4/32, 7/39, 9/29, 10/30, 13/29 1.14 x 38
BS4745 10/30, 13/29 1.40 x 45
BS5775 10/30 1.27 x 75
BS7420 10/30 0.80 x 20
Read More
Pata Nukuu ya Bei Misumeno ya Mkanda ya SilverTIP
Jiunge ili Kupokea Maelezo Kupitia kwa Barua Pepe
Kuwa wa kwanza kusikia kuhusu bidhaa mpya, ofa, miradi ya wateja na mengine mengi ukitumia jarida letu la bila malipo la Wood-Mizer. Jiandikishe leo!